23.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

T500+MAX smart watch

TZS 60 000

Condition:

NEW

Description

Hii ni T500+MAX (2022) Bei 60,000/= (OFA) Moja kati ya smart watch bora kabisa 2022 Ni smart watch yenye quality kubwa zaidi Na inayotunza charge sana (siku mbili+) Free delivery kwa dar(mjini) Kazi yake: ✔️Full screen hd (infinity screen) ✔️Inakubali kwa android na iOS(iphone's). ✔️Unaweza kuongelea na sim kupitia kwenye hiyo saa yako. ✔️Unaweza ku play music na ukaskia kwenye saa yako. ?Bluetooth call(Unaweza kuongelea na simu kwa kupitia kwenye saa yako pamoja na kupiga na kupokelea). ? Phone book or contact(Unaona contact zako zote za kwenye simu ukisha connect baina saa yako na simu yako). ✔️All app notifications (Unapokea message zako zote kama za WhatsApp, Instagram, Facebook, tweeter etc). ✔️Unaweza kubadilisha mikanda. ✔️Wallpaper change(Unaweza kueka picha yako binafsi kama wallpaper kwenye screen ya saa yako). ✔️Pedometer or steps count sleep monitor. ✔️Fitness tracker. ✔️Heart rate monitor. ✔️Blood pressure measure. ✔️Body temperature measure. ✔️Sedentary reminder. ✔️Anti_lost function. ✔️Alarm and stopwatch. ✔️Gesture detection. MALIPO NI BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKO Tupigie simu moja tu tukuletee haraka

Mr Pods Tz

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam