29.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

SMARTWATCH N76-SERIES7

TZS 85 000

Condition:

NEW

Description

?OFFER!! SMARTWATCH SERIES 7 Tsh 85,000/- tu, FULL BOXED AND SEALED✅ ?PIA TUNAUZA JUMLA NA REJA REJA. TUNAFANYA DELIVERY NDANI YA DAR NA MIKOA YOTE. Model: N76, ?️Series 7 appearance Smart watch , ?️android na Apple zote zinakubali, ?️Full screen HD, 385 x 385 pixels of resolution screen quality. ?️inaonyesha muda km kawaida, ?️unaeza kupiga na kupokea sim pia ukaongelea kupitia Moc speaker ya saa smartwatch. ?Ina speaker pia ambayo utakua na uwezowa ku play music ndani ya saa yako na ikatoa sauti. ?️inanotify Whatsapp, insta na apps zengine, ?️unaeza eka picha yako kama wallpaper, ?️Inafaa kwa ajili ya mazoezi, inapima heart rate, oxygen level, calories ulizoburn, distance, steps, ?️Ina games, ina passwords (for privacy), ?️Ina phonebook, ina calculator, calendar, ?️Inatunza charge kwa siku nyingi ina uwezo wa Battery capacity 200mAh (3-6)days ?Una uwezo wa kubadilisha mikanda ukaweka mengine. ?️Inatumia charge ya wireless charger, ?️Ina lugha tofauti km Chinese, English, German, French, Spanish, Korean, Japanese, Russian, Arabic, Portuguese na Italian. ?Package Contents 1 - N76 Smartwatch 1 - User Manual 1 - Charging Cable 1 - pair of belt

Delight S. T.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam