16.07.2025Arusha

SAMSUNG TRIO CHARGER 65WATTS

TZS 30 000

Details

Brand
Chargers

Description

SAMSUNG TRIO CHARGER – Power ya Kipekee kwa Vifaa Vyako Vyote! ⚡ 🔌 65W + 25W (Type-C) + 15W (USB-A) Chaja moja yenye uwezo wa kuchaji simu, tablet na laptop kwa wakati mmoja! 💥 Sifa Kuu: ✅ Port 2 za Type-C: 65W & 25W – Fast Charging ya kasi kwa simu na laptop zako ✅ Port 1 ya USB-A: 15W – Inafaa kwa vifaa vya kawaida ✅ Inafaa kwa: Samsung, iPhone, Huawei, Xiaomi, Lenovo n.k. ✅ Ina ulinzi dhidi ya joto kali, mzunguko mfupi & kupita kwa umeme. 💸 BEI: 30,000/= Tu! ☎️0712350159

Loveson D.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha