02.11.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Samsung (AKG) F9 earbuds

TZS 50 000

Condition:

NEW

Description

F9-5 Bluetooth earbuds kwa Tsh. 50,000/= _____________________ ✔️Zinatumika katika simu aina zote ✔️Zina active noise cancelation ✔️Haziingii maji (waterproof) ✔️Bass nzuri na ya kutosha ✔️Quality microphone for calls ✔️Ni Touchable katikati ? ?Kubadili mzki ?Kuongeza sauti/kupunguza ?Kupokea simu/kukata ?Kubadili video YouTube ________________ Uwezo wa kutunza charge ✔️Charging box inaweza kucharge simu ✔️Mziki hadi masaa manne kwa buds zikiwa zimejaa ✔️Simu hadi masaa 5 bila kupumzishwa ✔️Zinaweza kuchajiwa zaidi ya mara tano kwenye charging box _________________ Tufanye delivery bure kwa dar Na malipo ni ukipokea mzigo wako na kutest Tupigie tukuletee haraka sana Jiji Jiji.co.tz/shop/mrpodstz Au njoo ?riverside ubungo Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa _____________________

Mr Pods Tz

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam