Condition:
NEW
Description
Flash kwa ajili ya matumizi ya simu na Computer (2 in 1) Uwezo: GB 16 Utaweza kuangalia movie kupitia simu yako kutumia Flash hii Utaweza kutumia documents/taarifa zako zikiwa kwenye flash kwa urahisi kupitia simu yako Zipo kwa ajili ya simu zote zinazotumia Micro USB na Type C (Samsung , Infinix, Itel, Tecno, Huawei, n.k) Wahi OFA hii, Kuwa Digital Mikoani Tunatuma kwa Uaminifu Mkubwa Tanzania na Nchi jirani