15.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

HD Wireless IP camera (Limited Offer)

TZS 65 000

Condition:

NEW

Description

HD Wireless IP camera (Limited Offer) ••••••••••••••••••••••••••••• •Kwanini uibiwe au ukose amani ya uliemuachia mtoto nyumbani ??? •Njia bora yakujua anaeingia na kutoka nyumbani kwako kwa siri ni uwepo wa camera hii bora kabsa. •Ilinde nyumba yako muda wowote sehemu yoyote utapokuwa kwakufatilia kila tukio kiganjani mwako. •Sio kubwa sana kwamba unaeza ukaibandika pia sehemu na ukapata kila tukio kila kitu kiganjani mwako. •Two way communication, unauwezo wakuongea kupitia simu yako na ikaskika kwenye speaker za camera hata ukiwa mbali. •360 view camera •1080p resolution clear view •Unaweza ukaichomeka kwenye powerbank tu na ukapata kila kitu kilichojiri siku nzima. •Haulipii chochote ili kupata access ya online streaming ya camera yako. •One year warranty

THOMS SHOP

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam