Details
Description
karibu sana Kwa mahitaj ya hard disk drive za desktop machines na Laptop. -zpo Hard disk drive za 250GB -zipo hard disk drive za 500GB - zipo hard disk drive za 1TB 🔼Tunauza Desktop machine complete kuanzia Tsh 260,000/= 🔼zipo complete za 285,000/= 🔼lakini pia unaweza kununua mashine tu au Monitor tu Kwa Bei nafuu kabisa. Karibu sana wateja wetu, Tunapatikana dar es salaam karume jengo la machinga complex Business Park floor ya 4. Kwa wateja wa Mkoani tunafanya derivery Kwa uaminifu mkubwa.