28.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

GPS TRACKING

TZS 120 000

Condition:

NEW

Description

GPS TRACKING SYSTEM ?Hichi Ni kifaa kinachokusaidia kufuatilia mali au bidhaa yako kisasa zaidi. ?Kifaa hichi unaweza kuweka kwenye ? Gari, Pikipiki, Begi ,TV ,fridge na mkoba wako wa thamani . ?Pia unaweza kuweka kwenye begi la mtoto wako wa shule ili kujua atakapokuwa kila wakati (monitoring) ?Kifaa kina size ndogo sana ambayo sio rahisi kwa mtu sio mhusika kuona .. ?GPS TRACKING inatumia SIM card ambayo itakuwa inatuma taarifa kwenye simu yako ya mkononi . ?Hakihitaji wiring yoyote ili kufanya kazi(stand-alone) ?Kina sumaku ambayo unaweza kukibandika popote kwenye gari au pikupiki na mtu asione . ?kina kaa na charge Siku 12 hadi 15 bila ku charge . Kifaa kinakuwa na USB charger ambayo inakuwa ndani ya packaging box Kwa Tsh 120,000 tu unajipatia kifaa hichi Dar ulipa baada ya kupokea mzigo . mikoani unatumiwa kwenye basi .

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam