Condition:
NEW
Description
Hizi GPS tracker zinafika week hii inayoanza kesho. Hivyo weka order yako kama utakuwa interested. Ni ndogo sana kama zinavyoonekana pichani ikiwa kwenye kidole. Kulingana na udogo wake inakuwa ni rahisi kufichika. Zina accuracy kubwa sana, hivyo inakuwa ni rahisi kumpata mwizi wako. Unaweza kufunga kwenye kifaa chochote ambacho unahitaji kukitrack endapo kitapotea. Kuanzia TV, Laptop, Radio, Gari, Pikipiki na vingine vingi sana. Ina features nyingi sana. Ipo customizable hivyo unaweza kuongeza vitu kama na hivyo kukuwezesha kurecord sauti za mahali kilipo kifaa chako unachokifuatilia. Hazina betri ila inawezekana kuiongezea battery. Terminal zake zipo. Utahitaji Laini ya simu pamoja na memory card ili uweze kuzitumia. Ukihitaji kufungiwa bei ni Tsh. 100,000. Zipo pisi 10 tu, kama ukizihitaji,zote kwa bei ya jumla nipigie tuongee bei. Karibu sana.