23.12.2021Tanzania, Dar Es Salaam

FENSI ya umeme

TZS 22 000

Condition:

NEW

Description

ELECTRIC FENCE Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia king'ora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa kuwa kuna jambo la hatari lina endelea . TOP WALL ELECTRIC FENCE hizi zinafungwa majumbani juu ya ukuta wa fensi. (Top wall) inakuwa na line 8 minimum otherwise kuna sababu zingine. Material kama (nguzo)Aluminium poles hutumika kwasababu hazishikikutu, na pia zinamuonekano mzuri, pia kuna aina nyingi za wire kama (Galvanized wire,Aluminium wire na Stanley steel wire)Fundi mzuri lazima afunge Earth rod zaidi yamoja, kuipa nguvu fence ya kupiga short nakulinda mashine. ?Kwa wateja wangu wa Dar huwa tunawashauri kufunga Aluminium poles, (nguzo), Aluminium wire au Stannely steel wire kutokana na mazingira ya chunvi, faida zake ni kwamba. ?Hazishiki kutu ?.Hazipati layer ya chunvi inayopunguza uwezo wa kupiga shoti ?Zinakaa muda mrefu sana ?Zina muonekano mzuri. Gharama kufunga fence zinategemea mambo yafuatayo Ukubwa wa ukuta (material yatatumika mengi au machache kulingana na ukubwa wa ukuta) ?Shape ya fence je? Ukuta wako umenyooka au upo straight, au unakonakona au ngazi ngazi, ukuta ulionyooka materials yatatumika machache hivyo bei itakuwa chini ukilinganisha na ukuta wenye kona kona au ngazi. Watu wengi wamekuwa wakitapeliwa na mafundi wasio na utaalamu kwa kufungiwa fence zisizo na ubora kwa vifaa visivyoendana na mazingira. Au ufungiwa vifaa used na kuaminishwa ni vipya kwasababu mteja hana utaalamu juu ya vifaa au tamaa za mafundi. Madhara yake yapo hivi, unaweza amini kuwa fence inafanya kazi kumbe ilishakufa siku nyingi, , mwizi anauwezo wa kupita kwenye hiyo fence bila kupigwa shoti. Karibu ROYAL SECURITY SOLUTIONS Tukufanyie kazi nzuri bora na ya uhakika kwa usalama wako na mali zako TUPO DAR ES SALAAM-mbezi beach NA ARUSHA- SAKINA

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam