Details
Description
DATA CABLE SET – Kasi, Ufanisi na Ubora kwa Vifaa Vyako Vyote! Unachoka na nyaya zinazovunjika haraka? Tunakuletea Data Cable Set ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu! Seti hii inajumuisha: 1x Type-C Cable – Kwa simu mpya na vifaa vya kisasa✅ 1x Lightning Cable – Inayofaa iPhone na iPad✅ 1x Micro USB Cable – Kwa simu za Android na vifaa vingine vya zamani Kasi ya kuchaji hadi 3.0A Uhamisho wa data wa haraka Tsh 22,000/= 🚩ARUSHA TOWN ☎️0712350159