Condition:
NEW
Description
January offer inaendelea na sasa utapata saa aina ya D20 kwa Tsh 15,000 tu Hizi saa wanavaa watu wa jinsia zote iwe vijana na watoto na hata wazee. saa ina uwezo wa kupima;- ✳️blood pressure ✳️heart rate ✳️step count ✳️sleep monitoring ✳️calories nk,,,,,, ✳️unaweza kuweka picha yako Pia unafursa ya kuunganisha na simu yako na kupokea notification za simu yako kuja kwa saa yako ya mkonon kama;- ✳️whatsapp ✳️facebook ✳️instagram ✳️simu na msg za simu yako nk! Unasubiri nn january hii kupata kilichobora na kwa bei punguzo