25.03.2022Tanzania, Dar Es Salaam

BULB CAMERA

TZS 90 000

Condition:

NEW

Description

BULB wireless camera - Hii ni camera yenye umbo la taa ya balbu . ni nzuri usalama wa eneo lako kama biashara au nyumbani. ➡️ina picha angavu kabisa usiku na mchana ?Ina ona kwa 360° degree ?Inarecord hadi sauti ?Ina sehemu ya kuweka memory card kwa ajili ya kutunza kumbukumbu. ?Ukiweka kwenye chumba kama sitting room inauwezo wa kuona chumba kizima kwa mduara 360°degree. ?Ina uwezo wa kuhisi kituchochote kinachojigusa na kunasa tukio vzr.(motion detector ) ?Unaweza kuunganisha na simu yako ukaview ukiwa popote ? si rahisi mtu kutambua kama ni Camera ?Bei ni 90,000tsh TUPO DAR ES SALAAM -KARIAKOO Dar unalipia ulishapokea mzigo .. Mikoani unatiwa .

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam