17.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Breaking fast Makear Tost

TZS 140 000

Condition:

NEW

Description

Ni Makear imaara kabisa kwaajili ya kupasha kifungua kinywa asubuhi napia ina Oka Keki,Skonzi, Mkate na n.k piaina kikombe Maalumu kwapembeni kwaajili ya kuchemshia. Chai ama kahawa na Maziwa niyakisasa zaidi naitumia dakika 9 tu ishaivisha kilakitu na Warranty yake ni 3years

Toptoun Online

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam