07.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

BILL COUTER

TZS 280 000

Condition:

NEW

Description

BILL COUNTER MACHINE ?Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services ?Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa ?Mawakala wa Mpesa, Tigopesa etc hii sio ya kukosa kwenye ofisi zenu ?Inahesabu milioni moja kwa sekunde kumi tu ?Hii itakusaidia kugundua noti feki, hela zilizochanika na ambazo zipo katika hali mbaya ?Ni rahisi sana kuitumia, na itaifanya ofisi/biashara yako iwe ya kisasa zaidi na utendaji kazi utakuwa wa ufanisi zaidi ? Waranty mwaka mmoja BEI: Tsh 280,000/=Tu ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ TUPIGIE Tupo dar es salaam .Jamhuri street Kwa wateja wa dar free delivery . Mikoani unatumiwa

Eng allan

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam