Details
Description
🔌 FAST CHARGING CABLE – MECH DATA CABLE 💥 Cable ya kisasa yenye uwezo mkubwa wa kuchaji kwa haraka na kuhamisha data kwa ufanisi. ⚙️ Ina 4 in 1 multifunctional interface – Inafaa kwa simu nyingi (USB, Type-C, iPhone). 💪 Imetengenezwa kwa waya imara na muundo wa kisasa unaodumu kwa muda mrefu. 🔥 Inachaji haraka bila kuharibu simu yako – salama na yenye kasi ya kipekee. ✅ Design ya kuvutia na rahisi kubeba. 📍 Tunapatikana: Arusha 0712350159