Details
Description
Je unafahamu ni wakati gani sahihi wa kubadilisha betri kwenye simu yako ya mkononi? Kwa kawaida betri ya simu inapoanza kuonyesha dalili zifuatazo ni muda sahihi wa kubadilisha -kuporomoka chaji haraka -Betri haijai chaji hata ikichajiwa kwa muda wa kutosha -Simu kupata joto upande wa betri -Simu Inajizima yenyewe bila mpangilio -Betri kuvimba Ukiona moja au zaidi ya dalili tajwa hapo juu kwenye simu yako ya mkononi tafadhali wasiliana nasi haraka kwa huduma ya kubadilishiwa betri .