Details
Description
Sasa unaeza kuunganisha kingamuzi chako au deki kuonyesha kwenye kioo cha monitor yako 🚀full VGA CABLE 🚀CONVERTOR 🚀USB POWER CABLE kinapatikan kinondoni piga simu 0624086833 Matumizi yake 🚀Una connect wire wa power ambapo ipo mfumo wa usb ya jembe 🚀Una connect wire za av kutoka kwenye deki au kingamuzi au game console PS2,XBOX 360 ,PS3 kwenda kwenye convetor 🚀 pia unaweza kuchange resolution kutoka 720 au 1080 🚀baada ya kufanya configuration ambz tajwa apo juu utakuw umemaliza