14.01.2023Dar es Salaam

Vikoi

TZS 10 000

Description

Vikoi vizuri mno Ni vikubwa vinatosha kujifunga, kujitanda au kushona Unaweza kutumia kama mbadala wa kanga Havipauki Havitoi rangi ukifua Siyo vizito sana Zipo rangi tofauti kwa sh 10000 tu!! ☎️0653401853 Tupo Tabata Posta na tunafanya Delivery popote

ARAPHA

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam