18.10.2023Dar es Salaam

Khanga Kubwa za Zanzibar

TZS 20 000

Description

Khanga Kubwa za Zanzibar zinapatikana Bei ya rejareja sh 20,000 kila moja. Bei ya jumla sh 19,000 kuanzia 3. Tunapatikana tabata kinyerezi, dar es salaam Tunafanya delivery unalipia sh 2000 kwa dar na mkoani natuma kwa gharama za mteja. Mawasiliano 0784 829565 Karibuni Sana @radhiyastore @prathlimited

Radhiya L.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam