23.08.2023Arusha

HL7 MAX SMARTWATCH

TZS 145 000

Description

🌠 HL7 MAX SMART WATCH 🌠 💫 Android 4.2 na apple (iOS 8.0 and above) zote zinakubali 💫 Unaweza ukapiga na kupokea simu 💫 Inaonyesha notification za message za kawaida, whatsapp, Instagram na facebook 💫 Unaweza kuitumia kuplay mziki wa kwenye simu yako 💫 Inauwezo wa kupima mapigo ya moyo, presha ya damu, kiwango cha oxygen kwenye damu 💫 Inauwezo wa kupima hatua ulizotembea kwa siku na kiwango cha calories kilichounguzwa 💫 Package yake inakuja na ✅ Mikanda 7 ✅ Magnetic charger ✅ Instruction mranual

STEVEN G. K.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha