Description
🎆 LONGBO 🎆 ________________________________ 📌 Haichubuki wala haipauki (Stainless steel) 📌 Inaonyesha siku na tarehe 📌 Sio kubwa sana mkononi iko simple tu 📌 Ni saa nzuri kwa wale wasiopenda mambo mengi 📌 Mkanda unapunguzika kirahisi 📌 Battery use 📌 Haipitishi maji yanayotiririka (Water resistant)