Details
Description
PS4 slim yenye games za kutosha kama zilivyoandikwa hapo chini. Ina storage ya ndani 500 gb ila na extended storage ya 1 TB. Bei maelewano na itategemea kama utachukua na extended drive au yenyewe tu. Games zilizopo: Fc25 Nfs Heat GTA V F1 24 WRC 8 Hitman 2 Descenders God of war: Ragnarok Sniper ghost warrior 3 Metal gear solid: Phantom pain MK 11 Batman Arkham knight Sniper contracts Uncharted 4: A thiefs end Watch dogs legion Uncharted: The lost legacy Sleeping dogs Mafia 2