Details
Description
Pata padi yako ya PS4 kwa bei nafuu kabisa. Full boxed controller pamoja na charging cable. Pia hizi padi zina fanya kazi kwenye PC (Computer) na zinacheza wireless kama kwenye PS4. Ukihitaji kuitumia kwenye PC na hujui ni namna gani unaweza kutumia ucjali tutakuelekeza namna ya kutumia bila gharama yoyote. Tunaruhusu maswali yoyote kwa yoyote mwenye changamoto. Karibuni sana. Tupo dodoma Barabara ya 10. Karibu Sana