Details
Description
Pata PS4 Original controller ya mtumba yenye ubora wa hali ya juu kabisa. Kama wewe ni gamer padi original ndo padi sahihi kwako. Padi original zina faida zifwatazo ukilinganisha na copy. 1. Uimara (Padi original unaweza kuitumia miaka bila kuifanyia service yoyote). 2. Uwezo (Padi original zina uwezo Mkubwa sana ukilinganisha na copy). 3. Uwiano na vifaa. Pia tunaweka game kwenye PS zote na Pc aina zote kwa bei nafuu sana Kama una swali lolote usisite kutupigia simu Tupo dodoma Barabara ya 10