26.07.2023Dodoma

PS4 Games installation

TZS 20 000

Details

Brand
Playstation (PS)
Model
1
RAM
16 GB
Screen size
1 Inches
Hard Drive
1 GB
CPU
1 GHz

Description

Karibu kwenye burudani ya games nzuri kali na mpya. Kama wewe ni mpenzi wa games usisite kututafuta. Tunaweka games kwenye PS4 na kwa bei nafuu sana. Games zote na za aina zote zinapatikana racing, fighting, adventure, sports na actions. Tunaweka games za aina zote account pamoja na games za kuchip. Bila kusahau games za PS2, PS3 na PS5 nazo zinapatikana Pia tunauza PS3, PS4 na accessories zake kama vile padi nk, lakini pia tunafanya ufundi wa PS na Padi za aina zote. Usisite kutupigia simu

Techtonics T.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dodoma