14.08.2022Dodoma

PS3, PS4, PS5 Gamepad Repair

TZS 2 500

Description

Tunatengeneza padi za aina zote kuanzia PS3, PS4 na PS5. Sio lazima ununue padi mpya wakati padi yako bado inafaa. Tunafix matatizo yote ya padi hata kama padi yako imezima kabisa njoo nayo usiitupe. Pia tunauza spare za padi zote PS3, PS4 na PS5 Raba x box Raba r1 l1 Carpet za padi Log engine Log cape System charge Pia tunaweka game kwenye PS zote na Pc aina zote kwa bei nafuu sana Kama una swali lolote usisite kutupigia simu Tupo dodoma Barabara ya 10. Karibu Sana

Techtonics T.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dodoma