Details
Description
Pata padi yako ya PS3 kwa bei nafuu kabisa. Rangi tofauti tofauti zinapatikana pamoja na crazy colors pia zipo. Pia hizi padi zina fanya kazi kwenye PC (Computer) na zinacheza bila kuweka program yoyote kama kwenye PS3 yaani plug and play. Zinacheza games zote kwenye PC wala hazichagui. Karibu sana Pia tunaweka game kwenye PS zote na Pc aina zote kwa bei nafuu sana Kama una swali lolote usisite kutupigia simu Tupo dodoma Barabara ya 10. Karibu Sana