21.07.2023Dodoma

PS3 Complete

TZS 370 000

Details

Brand
Playstation (PS)
Model
PS3 SLIM
RAM
8 GB
Screen size
1 Inches
Hard Drive
250 GB
CPU
1 GHz

Description

Tumekuletea ps3 bundle kwa bei nafuu kabisa inakuja na PS3 console, padi mbili. Waya ya HDMI, waya ya umeme, waya ya kuchaji padi na game 10 ndani ya mashine bure kabisa. Kila kitu ni kipya na sio used. Mashine zipo chache wahi uchukue mashine yako. Pia tunaweka game kwenye PS zote na Pc aina zote kwa bei nafuu sana Kama una swali lolote usisite kutupigia simu Tupo dodoma Barabara ya 10. Karibu Sana

Techtonics T.

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dodoma