16.11.2022Dar es Salaam

T-shirts Za Mtumba

TZS 12 000

Description

T-shirts Kali Sana Za Mtumba Grade One Hizi Ni Nguo Ambazo; 1. Hazichuji rangi 2. Hazipauki haraka 3. Zinadumu kwa muda mrefu 4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna mtu mwingine ameivaa hivyo unakuwa umevaa nguo ya kipeke yako 'unique' Bado Unawaza Utazipata Wapi Hizi T-shirts? Usiwaze Tena, Utazipata Kwetu Kwa Bei ya OFA ya 12,000 Tu Kwa Kila T-shirt OFA Hii Ni Kwa Wateja 50 tu Wa Mwanzo! Tupo Segerea Sheli Opposite Oil Com. Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0657576369

Sammy G.

Member since 2017.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam