Details
Description
bajaj . ipo kwenye hali nzuri .bhajawai PATA ajali. Wala kurudiwa rangi. Wala body . unatumia gas mtungi wa kilo 6 . pia unatumia mafuta . kunbuka mfumo wa gas . bei yake ni 1.5million maongezi yapo. natoa kama offer . bajaj double droo. chain Moja . unawasha unaondoka wazee wa Uber na bolt . unapiga pesa unakimbia .