Details
Description
Tunauza Lovol tractor ambayo ni imara na zenye nguvu kuhimili mazingira kiafrica ni trekta kutokea china. Limekuwa na matokeo chanya kwenye mashamba ya wakulima wakati pamoja na wakubwa hapa Africa. Tunasambaza Tanzania nzima kwanzia trector ya HP 35-100 na bei zetu ni rafiki zenye punguzo kwa mteja. Tunatoa huduma baada ya manunuzi kwa mwaka Mmoja na pia tunatoa warranty kwa kipind Cha mwaka Mmoja. Tuna tractor pamoja na vifaa vyake vingine kama trailer, boom sprayer, disc plough, harrow, subsoiler Vyote hivyo utavipata katika store zetu zilizopo ubungo urafiki, kwa bei rafiki kwa Kila mkulima wa Tanzania.