02.11.2026Dar es Salaam

Kiwanja

TZS 16 758 000

Details

Brand
Samsung

Description

Nauza Kiwanja hichi kipo Buyuni Wilaya ya Kigamboni kina ukubwa Sqm 1,197 kina Hati ya Wizara ya Ardhi tayari, kipo karibu na Beach ,kipo karibu na Barabara kuu ,unaweza kutembea kwa miguu ,umeme ,maji na Huduma nyingine zipo . Mimi ndo muuzaji husika karibu sana, ukitaka kuhakiki Hati nitakupa ushirikiano wa wakutosha Bei Sqm moja ni sh elfu 14,000

Yasir M.

Member since 2026.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam