11.05.2022Tanzania, Tanzania

VIWANJA VIZURI VINAUZWA

TZS 17 500 000

Description

MRADI MPYA!! KIGAMBONI - KISARAWE II - KIGOGO. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo karibu na Uwanja wa Yanga,Kiwanda cha maji cha Afya na Dar es salaam Zoo. -Umbali ni 2km kutoka barabara ya lami. -Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana kwa ukaribu. -Neighbourhood yake inavutia sana,watu wamejenga na wanaishi safi. -Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa. -Bei ni 25,000 kwa square meter moja. -Hati utapewa baada ya kumaliza malipo. 0763465758

Peter A.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Tanzania