28.07.2021Tanzania, Dar Es Salaam

UNAILIPIA SHILINGI NGAPI ADAPTER KWA AJILI DIAGNOSIS YA GARI NDOGO ZOTE?

TZS 800

Condition:

NEW

Description

Adapter aina ya Launch Thinkdiag kwa ajili diagnosis ya magari madogo aina zote * Inapima mifumo yote kwenye gari (Full systems diagnosis) *Ina hot functions 16 ambazo unaweza kuzitumia kutatua matatizo mbalimbali kama kucalibrate sensors, resets n.k. * Inapima gari zote ndogo, kampuni yoyote, model yoyote haichagui. Njoo na gari yoyote kwa ajili ya majaribio. * Ni bidirectional hivyo ina uwezo wa kufanya ECU coding na Initialization. * Unainganisha na simu kupitia bluetooth, hivyo kila kitu unaona kwenye simu. * Inakupa live data kwa kila mfumo wa gari lako. * Inaweza kufanya actuation test. * Inakuwa na special functions kwa kila mfumo wa gari. * Na mengine mengi sana Nipo Dar es salaam. Njoo na offer yako whatsapp.

Autoelectrical E.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam