09.02.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Mfumo wa kuwasha gari kwa fingerprint/Password.

TZS 250 000

Condition:

NEW

Description

Mfumo wa fingerprint na password kwa ajili ya kuwasha gari. Mfumo unakuwa na fingerprint sensor ambayo imeunganishwa na control board. Baada ya kuwa umescan kidole chako au umeingiza password kwa remote, Control board itatuma frequency kwenye wireless switch(RFID switch ambayo tumeificha mahali). Switch itakuwa ON ndio utaweza kuwasha gari. Hakuna mawasiliano ya waya kati ya control board na RFID switch hivyo mwizi wa gari hata aking'oa hiyo fingerprint sensor na board yake bado hatoweza kuwasha gari. Unaweza kusajili kidole zaidi ya kimoja na mtu zaidi ya mmoja, inaweza kuhifadhi mpaka vidole 300. Unaweza kujisajili wewe na watu wako unaowaamini. Kama unamuazimisha mtu gari au unapeleka gari garage na wewe haupo watatumia remote kuwasha gari kwa password. Kusajili au kufuta fingerprint ni muda wowote kwa kutumia remote control pamoja na password. Kama unahitaji kuona video tuma msg whatsapp. Unaweza pia kupiga simu kwa namba hiyohiyo. Karibuni sana.

Autoelectrical E.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam