04.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

MASHINE YA DIAGNOSIS YA MALORI NA GARI NDOGO

TZS 300 000

Condition:

NEW

Description

*soma maelezo kwa umakini* * inapima gari zote kubwa na ndogo. Isipokuwa tu kwenye toyota wameweka gari ambazo zinauzwa soko la dunia, LC, LC prado, Rav 4, Corolla, n.k. * mashine ina uwezo wa kupima mifumo yote kwenye gari. * inaweza kusoma codes na kufuta codes. * ina live data * inaweza kufanya component activation * inaweza kufanya system adjustments * ina cable zake 9 kwa ajili ya malori (scania, daf, man, iveco, volvo, benz, knor na wabco trailers, n.k). * unaitumia pamoja na laptop, unaunganisha kwa waya au bluetooth. *bei ni Tsh. 300,000/= tu [laptop haipo, itakulazimu ununue laptop] *nipigie au nicheck whatsapp *Nipo Dar.

Autoelectrical E.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam