Condition:
NEW
Description
Mashine ya Diagnosis Launch Thinkcar Pro. Ni Mpya na Original kabisa from Calfornia,USA. Full systems diagnosis. Special functions nyingi. Kusoma na kufuta code. Inaonesha Live data, graphical na kawaida. Oxygen sensor test. Freeze frame, EVAP test n.k. Inapima gari ndogo kampuni yoyote. Lifetime car software update[tafadhali zingatia hapa] Unaunganisha kwa simu au tablet yako.[Android & IOS]. Kudiagnose kwa VIN ya gari. Na mengine mengi. Nipo Dar Nipigie Nipe Offer yako.