Condition:
NEW
Description
Mashine mpya kabisaaaaa hata hazijabanduliwa makaratasi. Inapima gari zote ndogo (9V mpaka 18V). Inapima mifumo yote kwenye gari kama engine, gearbox, ABS, Airbag, EPS, Immobilizer, na mingine mingi. Inasoma code, inafuta code, ina freeze frame, inafanya active test, na mengine mengi sana. Ina special functions nyingi sana Unaitumia na simu unaunganisha kwa bluetooth. Ukitaka basic training jinsi ya kutumia nitakuelekeza. Mashine zipo njiani zinafika mwisho wa mwezi. Weka offer yako. Hii si ya kukosa.