03.09.2022Dar es Salaam

GPS trackers Gari, Tv, PC, n.k

TZS 75 000

Description

Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. Zina sifa zifuatazo. 1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. 2. Ina Live location na live tracking. 3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa. 4. Inahifandhi taarifa zote za mizunguko ya chombo kwa miezi 6 iliyopita. 5. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa. 6. Ina overspeed alarm, dereva akizidisha speed. Piga simu kwa maelezo ya ziada

Autoelectrical E.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam