Condition:
NEW
Description
Kifaa kitakusaidia kubandika sticker, tinted au hata kusafisha kioo cha gari au nyumba yako. Kina pande mbili 1. unasafisha vioo na 2. unatumia kubandika hizo sticker bila sticker au tinted yako kubaki na maturu au uvimbe wa hewa. Hubandika vizuri picha wakati wa kupimpu gari au chombo chochote.