Description
🔋 PIMA BETRI YAKO KWA URAHISI NDANI YA DAKIKA CHACHE! Gari lako linaanza kusumbua kuwaka? Epuka kukwama njiani! ✔️ Pima hali ya betri papo hapo ✔️ Angalia kama alternator iko sawa ✔️ Inaonesha: Nzuri, Kati au Chini ✔️ Rahisi kutumia kwa kila mtu 💡 Inafaa kwa magari yote ya 12V 🔥 Pata kifaa hiki muhimu sasa! 💰 Bei: TSH 35,000/= 📞 Piga simu: 0712350159 📍 Arusha Town