Details
Description
Simu Aina ya Tecno imetumika miezi 6 tu haina shida yoyote bado mpya Utaipata kwa kiasi Cha Laki moja na Ishirini tu.Pia Maongezi Yapo,Tunapatikana Tabata Bima,madukani. kwa mawasiliano Piga Namba 0718717162.....0787717162......0713038344.