Description
Je una tamani kumiliki simu kali aina ya tecno pop 2f mpya kwa bei nafuu kabisa? Ambayo inakuwa na sifa zifuatazo? -battery 2400mAh -Camera kali yenye 5mp -Ram 1GB -storage kubwa 16GB -inabeba laini 2 za mitandao yote Tanzania Simu ni mpya utaifungua wewe mwenyewe kutoka kwenye box lake -warranty ni mwaka mmoja