Description
Nimpya Sana inamwezi mmoja toka niinunue alikua anatumia mkewangu kwaoyo naiuza ninaitaji pesa ya haraka sofa zake storag 128 ram4gb misimu ya kijanja Sana nicheki 0710500067 ili tufanye biashara wewe njoo ujionee mwenyewe utanipenda protected na kava bule Kama unavyo Iona ndo ninayo