Description
HUDUMA BORA NA HAKIKA: 1) mteja anatakiwa kufika ofisini kwetu akiwa na vitu vifuatavyo A)kitambulisho Cha kazi Taifa Mpiga kula 2) Namba ya NIDA 3) Anuani ya makazi Au ya kikazi ,A) Awe Mtanzania Kwa wateja wa mikoani pia vitu vilivoolodheshwa hapo Ndio vitahitajika Atatakiwa kutuma kwa E MAIL