Description
Leo nakusogezea samsung s6 edge plus iliyotumika lakini inan’gaa kama mpya ina screen kubwa ya nchi 6, battery yenye uwezo mkubwa cqmera nzuri inayotoa picha kali Nb: ina wino kidogo upande wa chini wa kioo Simu ipo dukani hapa ukihitaji utaipata hapa dukani