Details
Description
kwa mafundi sim ..nauza sim hizi nne ambazo nilikua nikizitumia kitambo..bei 145,000 Tsh kwa zote nne 1.. hii note 10 ilitumbukia kwenye maji 2..hii LG scree touch inagoma 3..hii S 7 kioo crack na kutoa password 4..iphone sijaiwasha kitambo miaka ata 7