30.10.2021Tanzania
Description
Nauza samsung galaxy j5 pro 16gb storage, inatumia line mbili, ipo clean ila ina crack kidogo kwenye pembe ya kioo kwa juu. Haina tatizo lolote cm inafanya kazi fresh kabisa. Bei 140k
Chat with Steve
Call Steve