Condition:
USED
Description
Mtu Kafulia..Simu Inamiezi Miwili tu Toka inunuliwe . Internal 128GB .. Inakaa na Charge Saana!! .... Box lake na kila kitu kipo!! .. Haina shida yoyote na inaprotector!! ..... Niko Manzese Baresa,Nichek chap tumalize Biashara ....... Haipungi Hata Cent 1